Habari za Punde

Azam yaichapa Malindi ya Zanzibar 1-0 Mapinduzi Cup

MCHEZAJI wa Timu ya Azam Mpiana akijiandaa kuzuiya mpira huku mchezaji wa Timu ya Malindi Ferdaus Seif akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

MSHAMBULIAJI wa Timu ya Azam Ido Nado na Mchezaji wa Timu ya Malindi Zuberi Mkombozi wakiwania mpira katika mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup, uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar,Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.(Picha na Othman Maulid) 
MCHEZAJI wa Timu ya Azam Mpiana akijiandaa kuzuiya mpira huku mchezaji wa Timu ya Malindi Ferdaus Seif akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.(Picha na Othman Maulid)
MCHEZAJI WA Timu ya Azam Ido Nado akimiliki mpira huku mchezaji wa Timu ya Malindi Msati Kassim akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.(Picha na Othman Maulid)
MCHEZAJI wa Timu ya Azam Ido Nado akimpita beki wa Timu ya Malindi Abubakar wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.(Picha na Othman Maulid)
HEKAHEKA katika goli la Timu ya Malindizi wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
MCHEZAJI wa Timu ya Azam Bruce akimpita mchezaji wa Timu ya Malindi katika mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.