WANANCHI wa Kisiwa Kidogo cha Kojani wakibeba mizigo yao baada ya kuisafirisha kutoka Likoni hadi kisiwani Kojani, kwa ajili ya kuwahudumia wananchi wanaoishi katika kisiwa hicho kama wanavyoonekana katika moja ya picha.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Waandishi wanaogombea ubunge, udiwani wapigwa pini, watakiwa kujiondoa
vyumba vya habari
-
Na Seif Mangwangi, Arusha
KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais Oktoba mwaka huu 2025,
Baraza la Habari Tanzania (MCT), limetoa mwongozo kwa ...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment