Katibu Mtendaji Freinds of Mwinyi Fatma akisoma Risala katika hafla ya uzinduzi wa Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwahutubia wageni waalikwa na kuzindua rasmi Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwahutubia wageni waalikwa na kuzindua rasmi Jumuiya ya LEBOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (KULIA) akimkabidhi zawadi maalum Mwenyekiti wa Freinds of Mwinyi Mohammed H. Mitawi katika hafla ya uzinduzi wa Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (KULIA) akimkabidhi zawadi maalum Mshiriki wa Freinds of Mwinyi Rayyan Mohammed katika hafla ya uzinduzi wa Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (KULIA) akimkabidhi zawadi maalum msanii kutoka Freinds of Mwinyi Saleh Abdalla katika hafla ya uzinduzi wa Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (KULIA) akimkabidhi zawadi maalum Mdhamini wa Freinds of Mwinyi Joseph Abdalla Meza katika hafla ya uzinduzi wa Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Mlezi wa Freinds of Mwinyi akitoa neno la shukurani katika hafla ya uzinduzi wa Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi pamoja na wadhamin wa Freinds of Mwinyi katika hafla ya uzinduzi wa Jumuiya ya LABOUR EMPOWERMENT ORGANIZATION (LEO) huko Ukumbi wa Madinatal Bahr Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA FAUZIA MUSSA/ MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment