Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Mhe. Samia ameshiriki kwenye Maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Viwanja vya Mnazi mmoja Mjini zanzibar


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kwenye Maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo Januari 12,2021 katika Viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kwenye Maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo Januari 12,2021 katika Viwanja vya Mnazi mmoja Mjini zanzibar.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar alipowasili katika Viwanja vya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar leo Januari 12,2021 kwa ajili ya kushiriki kwenye Maadhimisho  hayo.


Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Wananchi na Wanachama wa Vyama mbalimbali vya Siasa wakiwa katika maandamano ya maadhimisho ya muaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  yaliyofanyika Januari 12,2021 katika Viwanja vya Mnazi mmoja Mjini zanzibar. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia suluhu Hassan, akizungumza jambo  na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Aman Abeid Karume kwenye maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo Januari 12,2021 katika Viwanja vya Mnazi mmoja Mjini zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.