Habari za Punde

Rais Dkt. John Magufuli Akutana na Kufanya Mazungumzo na Rais wa Zanzibar Mhe.,Dk.Hussein Ali Mwinyi, Pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza  wa vyombo mbambili baada ya kumaliza mazungumz

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wanahabari mara baada ya kikao chao cha pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad  akizungumza na Wanahabari mara baada ya kikao chao cha pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Januari No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.