Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi Ajumuika na Waumini kumsalia Marehemu Vuai Mwinyi Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduziu Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Vuai Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf,  iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi ksatika Msikiti wa Magombeni Jijini Zanzibar.

Marehemu Vuai Mwinyi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Abdalla Talib baada ya kumalizika kwa Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mstaaf  Vuai Mwinyi, iliofanyika katika Msikiti wa Magombeni ( Mchekeni ) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.