Habari za Punde

Simba yaifuata Yanga Fainali Mapinduzi Cup yaifunga Namungo 2-1

MCHEZAJI wa Timu ya Simba Hassan Dilunga akimpita beki wa Timu ya Namungo Stephen Duah wakati wa mchezo wao wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika jana usiku Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Simba imeshinda bao 2-1.

Kikosi cha Timu ya Simba kilichocheza Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup dhidi ya Timu ya Namungo mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Simba imeshinda bao 2-1.
Kikosi cha Timu ya Namungo kilichocheza Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup dhidi ya Timu ya Simba mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Simba imeshinda bao 2-1.Kocha wa Timu ya Simba Suleiman Matola akitowa maelekezo kwa mchezaji wake  Coulibally wakati wa. Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Simba imeshinda mchezo huo kwa bao.2-1.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.