Habari za Punde

Simba Yaunguruma Zanzibar yaichapa Chipukizi 3 -1 Mapinduzi Cup

Mshambuliaji wa Simba Miraji Athumani 'Sheva' akimtoka beki wa Chipukizi katika Mechi ya Mapinduzi Cup. Simba iliifunga Chipukizi goli 3-1 Magoli ya Simba yalifungwa na Miraji Athumani 2 na Meddi Kafgere MK14c goli moja. Goli la Chipukizi lilifungwa na Faki Mwalimu 

Mchezaji wa Simba Ibrahim Hajib akimtoka beki wa Chipukizi Chipukizi katika Mechi ya Mapinduzi Cup. Simba iliifunga Chipukizi goli 3-1 Magoli ya Simba yalifungwa na Miraji Athumani 2 na Meddi Kafgere MK14c goli moja. Goli la Chipukizi lilifungwa na Faki Mwalimu 
Mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere akimtoka mmoja wa mabeki wa timu ya Chipukizi
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.