Habari za Punde

Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana la Mashindano ya Nasheed lafanyika Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini

WAZAZI wa Wanafunzi wanaoshiriki Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana la Mashindano ya Nasheed lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed Foundation Zanzibar wakifuatilia tamasha hilo lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madra Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZAZI wa Wanafunzi wanaoshiriki Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana la Mashindano ya Nasheed lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed Foundation Zanzibar wakifuatilia tamasha hilo lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madra Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Sheria, Katiba, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa CD ya Mashairi (NASHEED) na Sheikh Habib Othman Mazinge.(kulia)  wakati wa Tamasha la Kwanza la “Pongezi kwa Wana” lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed Fuondation Zanzibar, akimuakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungumza na kuhutubia katikia hafla ya Tamasha la Kwanza la la Pongezi kwa Wana lililoandaliwa na Taasisi ya Tawfiq Nasheed Foundation Zanzibar, akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman akimkabidhi zawadi Mshindi wa kwanza wa mashindano ya Nasheed Mwanafunzi Nasra Abdalla Mohammed akikabidhiwa Friji na Msahafu na fulana, wakati wa hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman akimkabidhi zawadi Mshindi wa Pili wa mashindano ya Nasheed Mwanafunzi Hashiat Ramadhan Jussa, akikabidhiwa Charahani na Msahafu na fulana, wakati wa hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

 WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Utawala Bora Zanzibar.Mhe Haroun Ali Suleiman akimkabidhi zawadi Mshindi wa Tatu wa mashindano ya Nasheed Mwanafunzi Mudrik Mselem Ali, akikabidhiwa Baskeli Msahafu na fulana, wakati wa hafla hiyo ya Tamasha la Kwanza la Pongezi kwa Wana lililofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sunni Madrasa Mkunazini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.