Habari za Punde

Uzinduzi wa Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Rahma Kassim Ali na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud  Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja Kushoto ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Rahma Kassim Ali na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar
Wairi wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakitembea katika Barabara baada ya kukata utepe kuashiria kuizindua Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar
Sehemu ya barabara ya Pale Kiongele iliyozinduliwa na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed Ikiwa ni Shamra shamra za Mpaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa naIdara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed katikati akikunjuwa Kitambaa  kuashiria kuizindua Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.
Wananchi pamoja na Wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi  Shomari Omar Shomari akitoa maelezo ya kitaalamu kuhusiana na Ujenzi wa Barabara katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa salamu za Mkoa huo katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.

Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Rahma Kassim Ali akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Uzinduzi ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Barabara ya Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.