Habari za Punde

Bungeni leo Jijini Dodoma

Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA wakiingia Bungeni wakati walipoalikwa kuingia na Spika wa Bunge, Job Ndugai, jijini Dodoma, Februari, 2, 2021. 
Waziri  wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Doroth Gwajima akijibu swali Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akitoa Hoja ya kujadili Hotuba ya Mheshimwa Rais, Dkt. John Pombe  Joseph Magufuli    aliyoitoa wakati wa Ufunguzi wa Bunge la Kumi na Mbili, Novemba 13, 2020  Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.