Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya wabunge kutoka Mkoa wa Mara kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2021. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mwita Waitara, Mbunge wa Butiama, Jumanne Sagini, Mbunge wa Musoma Mjini, Vedasto Mathayo na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment