Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (kushoto) , Mbunge wa Same Magharibi , Dkt. David Mathayo (wa tatu kushoto ) na Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. David Mathayo  (katikati) na Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 5, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.