Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar 8-2-2021.

JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othnman Makungu (katikati) akiongoza Maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, wakiindia katika viwanja bya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijijni Zanzibar, wakimalizia maandamano hayo yalioazia katika viwanja vya Mahkama Kuu ya Zanzibar Vuga
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Waziri) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana, wakielekea katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhudhuria Siku ya Maadhimisho ya Sheria Zanzibar

RAIS wa Jumuiya ya Mawakili Zanzibar Mhe.Slim Said Abdallah akiwasilisha Salamu za Jumuiya yao wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar ilioadhimishwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
NAIBU Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Muumini Khamis Kombo akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Dkt.Mwinyi Talib Haji akizungumza na  kutowa Salamu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar


BAADHI ya Mawakili na wageni waalikwa wakifuatilia hafla ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.