6/recent/ticker-posts

Habari za hivi Punde: Ajali mbaya ya Gari Sheli ya Fuoni Ijtimai - Wawili wafariki


Gari inayoonekana iliacha njia na kuingia kwenye Sheli hiyo iliyopo Fuoni njia ya kwenda Ijtimai na kugonga vyombo vilikuwa vikipata huduma ya mafuta . Watu wawili tayari wamefariki na majeruhi wamekimbizwa Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa ajili ya matibabu


 

Post a Comment

0 Comments