Habari za Punde

Rais .Dk. Hussein Ali Mwinyi azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Ikulu leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongoziu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu wakati wa kuwaapisha katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI wa Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar wakifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maadizo ya Rais  aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu katika  viwanja vya Ikulu Zanzibar, taarifa hiyo ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.Bi. Fatma Hamad Rajab, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu,ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Bi. Fatma Hamad Rajab (hayupo pichani)  wakati wa mkutano huo wa Uongozi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Bi. Tabia akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za SMZ katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Zanzibar, wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.