Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akiwasirisha muktasari wa taarifa ya utekelezaji wa maagizo yake, aliyoyatoa wakati wa kuwaapisha Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wakurugenzi wa Taasisi mbalimbali za Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar.Dkt.Omar Dadi Shajak, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo ya Rais aliyoyatowa wakati wa kuwaapisha kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) na (kulia) Naibu Katibu Mkuu (Ustawi wa Jamii ,Wazee Jinsia na Watoto) Wizara ya Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto  Zanzibar Bi. Abeida Rashid Abdallah.
BAADHI ya Wakurugenzi wa Taasisi mbalimbali za Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wakurugenzi wa Taasisi mbalimbali za Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wakurugenzi wa Taasisi mbalimbali za Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wakurugenzi wa Taasisi mbalimbali za Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar, wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa maagizo ya Rais wakati wa kuapishwa kwa Mawaziri na Makatibu Wakuu katika viwanja vya Ikulu, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.