Wananchi wa Katoro Geita na Buseresere Chato wakiwa wamesimama
barabarani huku wengine wakitandika kanga na nguo kama
ishara ya Heshima ya kumuaga aliyekuwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John
Pombe Magufuli wakati akipitishwa kuelekea Nyumbani kwake Chato leo tarehe 24
Machi 2021.
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment