Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Aongoza Mapokezi na Kuuaga Mwili wa Hayati Dkt.John Pombe Magufuli Mkoani Mwanza leo Ukitokea Zanzibar.

Mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ukiwasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa Ndege ya Air Bus ya Shirika la Ndege Tanzania ikitokea Zanzibar baada ya kumaliza Wananchi wa Zanzibar kutowa heshima zao kwa marehemu jana Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Waziri Mkuu wsa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akipokea mwili wa Hayati John Pombe Magufuli baada ya kuwaasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza ukitokea Zanzibar, baada ya kumaliza Wananchi wa Zanzibar kutowa heshima zao za mwisho kwa Marehemu katika Uwanja wa Amaan jana. na leo Wananchi wa Mwanza nao wanatowa heshima zao za mwisho kwa marehemu katika Uwanja wa CCM Kirumba.Mwanza.
Waziri Mkuu wsa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akipokea mwili wa Hayati John Pombe Magufuli baada ya kuwaasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza ukitokea Zanzibar, baada ya kumaliza Wananchi wa Zanzibar kutowa heshima zao za mwisho kwa Marehemu katika Uwanja wa Amaan jana. na leo Wananchi wa Mwanza nao wanatowa heshima zao za mwisho kwa marehemu katika Uwanja wa CCM Kirumba.Mwanza
Mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ukiwasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kwa ajili ya tukio la kuagwa na wananchi wa Mwanza.Mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli, ukiwasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kwa ajili ya tukio la kuagwa na wananchi wa Mwanza,  Machi 24, 2021. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.