Habari za Punde

Matukio ya Picha Viwanja Vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Kuhudhuria Kisomo na Dua Maalum Kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo 7-4-2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo. 
Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Siti Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili  katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
RAIS wa Zanzibar Mstaaf wa Awamu ya Saba Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
RAIS wa Zanzibar Mstaaf wa Awamu ya Sita Alhajj Dk. Amani Karume akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
Mjane wa Hayati Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Alhajj Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Serekali wakati akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui kuhudhuria Dua Maalum na kisomo cha hitma kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Abeid Amani Karume iliofanyika leo.7-4-2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.