Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA NA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU, BAADHI YA MAKAMISHINA NA WAKUU WA TAASISI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma
Baadhi ya Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makakatibu Wakuu, Manaibu  Makatibu Wakuu, Makamishina na Wakuu Taasisi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao katika Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy  Mwalimu akimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika  Mkutano wa  Kazi wa Baraza la Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.