Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Ameongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe,Dk,Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Mabodi, akizungumza katika Kikao Maalum cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kilichofanyika katika Ofisi za Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Hamashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.