Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Aendelea na Ziara Yake Mkoa wa Kusini Unguja.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Mhe.Othman Masoud Othman akipokea zawadi ya mkungu wa ndizi kutoka kwa vijana wa Baraza ya Mtendei Makunduchi  Mkoa wa Kusini Unguja aliokuwa katka ziara ya kuwatembelea Wagonjwa katika Ziara iliyoandaliwa na Chma cha Act wazlendo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman  akikabidhi sadka kwa ajili ya Mzee Auli Mohamed Omar wa Shauri Moyo Wijini Unguja ambaye anasumbuliwa na ugonjwa wa  kiharusi alipofika kwa ajili kumuangali na umfariji
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Othman Masoud Othman akizungumza na Mzee Mussa Hassan Hassan ambaye anaumwa na migu kwa muda mrefu alipofika Nyumbani kwa mzee huyo huko Mungano Wilaya Mjini Ugnuja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akipata maelezo ya mardhi yaliomsibu mzee Kassim Moh’d Ali alipofika Nyumbani kwake Mtendeni Wilya Mjini Unguja kwa ajili umuangalia hali yake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.