Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Awatembelea Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar na Kuwakabidhi Futari Kwa Ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwakabidhi Futari Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia katika makaazi yao Sebleni na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya  Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar anayeshughulikia (Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto ) Bi. Abeida Rashid Abdallah akizungumza wakati wa alipofika katika makaazi ya Nyumba za Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwake) Naibu Katibu Mkuu Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Bi. Abeida Rashid Abdallah na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana
BAADHI ya Wazee  wa Nyumba ya Wazee Sebleni wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makazi yao kwa ajili ya kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika makaazi yao Sebleni Jijini Zanzibar

Bi. Asaa Ali Issa akitowa shukrani kwa niaba ya Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni kwa Mke wa Rais wa  Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipofika katika makaazi ya Wazee Sebleni kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsalimia Bi. Aziza Ibrahim mmoja wa Wazee wanaoishi katika Nyumba za Serikali za Wazee Sebleni Jijini Zanzibar alipofika kuwasalimia na kuwakabidhi Futari kwa ajili ya matumizi ya Mwezi Mtukifu wa Ramadhani
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wazee wa Nyumba za Wazee Sebleni baada ya kuwasalimia na kuwakabidhi futari kwa ajili ya matumizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifurahia jambo wakati akizungumza na kuwaaga Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni Jijini Zanzibar, baada ya kuwakabidhi Futari kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.