Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe.Philip Mangula Aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCMTaifa Jijini Dodoma leo.29-4-2021.

Wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM, wakiwa wamesimama kwa muda wa Dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
Wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM, wakiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid akitii jambo kutoka kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokuta leo April 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dodoma, kwa ajili ya kuandaa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM unaotarajiwa kufanyika kesho.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.