Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Dkt. Donald Wright (kulia), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara,jijini Dodoma
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dkt. Donald Wright akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND
-
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi akielezea vivutio
vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour,
wakati wa M...
1 hour ago


0 Comments