Habari za Punde

Benki ya NMB Yakabidhi Vifaa Vya Michezo kwa Jeshi la Zimamoto Kwa Ajili ya Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Ndg.Nsolo Mlozi akamkabidhi mpira na Vifaa vya Michezo Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza, kwa ajili ya Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yatakayofanyika Mkoani Morogoro katika Viwanja vya Tumbaku kuanzia tarehe 17 Mei hadi 21 Mei, 2021 yaliyobeba kauli mbiu isemayo “SHULE ZETU NI CHANZO CHA MAARIFA TUZILINDE DHIDI YA MAJANGA YA MOTO”Makabidhiano hayo yamefanyika leo Jjijini Dodoma, Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Nsolo Mlozi (Wapili kulia) akimkabidhi baadhi ya Vifaa vya michezo Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza (Wapili kushoto), vilivyotolewa na NMB vitakavyotumika katika Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yatakayofanyika Mkoani Morogoro katika Viwanja vya Tumbaku kuanzia tarehe 17 Mei hadi 21 Mei, 2021 yaliyobeba kauli mbiu isemayo “SHULE ZETU NI CHANZO CHA MAARIFA TUZILINDE DHIDI YA MAJANGA YA MOTO”Makabidhiano hayo yamefanyika leo Jjijini Dodoma, Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
Sehemu ya Maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, pamoja na Maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya vifaa hivyo.
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mbaraka Semwanza (Wapili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati Nsolo Mlozi (Wapili kulia) na baadhi ya Maofisa wa Benki ya NMB pamoja na wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mara baada ya zoezi la kukabidhiwa Vifaa mbalimbali vya michezo pamoja na fulana zitakazotumika katika Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yatakayofanyika Mkoani Morogoro katika Viwanja vya Tumbaku kuanzia tarehe 17 Mei hadi 21 Mei, 2021 yaliyobeba kauli mbiu isemayo 
“SHULE ZETU NI CHANZO CHA MAARIFA TUZILINDE DHIDI YA MAJANGA YA MOTO”
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Jjijini Dodoma, Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. (Picha Zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.