Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.,Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume baada ya kumalizika kwa Sala ya Magharibi iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall.

BAADHI ya Watoto kutoka makundi Maalum wakishiriki katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar
BAADHI ya Viongozi wa Vyama Vya Siasa na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar

BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar,na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Mhe.Dkt.Saad Mkuya Salum na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe Lela Mohammed Mussa
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) katika futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Michezani Mall Jijini Zanzibar.

MWANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Bw. Mwinchande Harona Mohammed  akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar

BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya futari maalum aliyoiandaa kwa ajili ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliofanyika katika jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana  na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali, wakiitikia dua
BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Wananchi wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall, kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais.Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Lela Mohammed Mussa.wakiitikia dua
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa Mkoa huo, iliofanyika katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuwaaga Wananchi baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa jengo la Michezani Mall Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.