Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe, Zuberi Ali Maulid akifungua semina ya mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuhusiana na Huduma za Kifedha, yalioandaliwa na Benki ya PBZ Islamic kwa Wajumbe semina hiyo imefanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Semina ya Mafunzo ya Huduma za Kibenki yakitolewa na Benki ya PBZ Islamic kwa wajumbe yaliofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.

Picha na BLW
No comments:
Post a Comment