Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanamfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassanakisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia MwanamfalmeMhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanamfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanamfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanamfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje ya Saudia Arabia Mwanamfalme Mhe. Faisal Bin Farhan Al Saud mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 25 Mei, 2021.PICHA NA IKULU
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.