Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Kenya
Uhuru Muigai Kenyatta pamoja na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta
kabla ya kwenda kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika
Ikulu ya Nairobi nchini Kenya
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha
ya Pamoja na Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta kabla ya kwenda kwenye
Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini
Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Kenya
Uhuru Muigai Kenyatta wakati wakielekea kwenye Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa
na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza
katika Dhifa hiyo ya Kitaifa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta pamoja na Mke wa
Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa katika
Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi nchini
Kenya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea
zawadi ya Kitabu kutoka kwa Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya
Dhifa ya Kitaifa iliyofanyika katika Ikulu ya Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Picha yake wakati
akikagua Gwaride katika ziara yake nchini Kenya
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Kenya Uhuru
Muigai Kenyatta pamoja Mke wa Rais Kenyatta Mama Margaret Kenyatta mara baada
ya Dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya
No comments:
Post a Comment