Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Katika Futari Aliyowaandalia Katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.s

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Mattar
WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika katika hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi wa zamani Wete Pemba na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) katika Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
SHEIKH Ahmada Hassan Bakari kutoka Wilaya ya Micheweni Pemba akitowa neno la shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum aliyowaandalia katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Mattar, wakati wa hafla ya futari maalum iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba
BAADHI ya Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)iliofanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.