Habari za Punde

Viongozi wa Benki ya CRDB Wajumuika na Wananchi wa Zanzibar Katika Futari Maalum Iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.

Mgeni rasmin katika hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela wakijumuika na Wananchi wakipata futari iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Abdulmajid Nsekela akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB wakipata futari na kujumuika na Wananchi wa Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar jana usiku. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Abdulmajid Nsekela na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB wakipata futari maalum waliowaandalia Wananchi wa Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt.Ally, akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika futari maalum ilioandaliwa na CRDB katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar. 
Mgeni Rasmin hafla ya Futari Maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika futari ilioandaliwa na CRDB iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar na (kulia kwake) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Dkt.Ally na (kushoto kwake) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw, Abdulmajid Nsekela na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wakijumuika katika futari hiyo.
Wananchi wa Zanzibar na Wateja wa Benki ya CRDB wakijumuka na Wafanyakazi wa CRDB katika futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.

Wananchi wa Zanzibar na Wateja wa Benki ya CRDB wakijumuka na Wafanyakazi wa CRDB katika futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma akipata futari maalum ilioandaliwa wa Benki ya CRDB Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar na kujumuika na Wananchi wa Zanzibar katika hafla hiyo ya futali iliofanyika jana.7-5-2021.
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma akipata futari maalum ilioandaliwa wa Benki ya CRDB Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar na kujumuika na Wananchi wa Zanzibar katika hafla hiyo ya futali iliofanyika
Wananchi wa Zanzibar na Wateja wa Benki ya CRDB wakijumuka na Wafanyakazi wa CRDB katika futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.


Wananchi wa Zanzibar na Wateja wa Benki ya CRDB wakijumuka na Wafanyakazi wa CRDB katika futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.Wananchi wa Zanzibar na Wateja wa Benki ya CRDB wakijumuka na Wafanyakazi wa CRDB katika futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Tanzania Bw. Abdulmajid Nsekela akizungumza na kutoa maelezo ya huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB na hivi karibuni wataaza kutoa huduma ya Islamic Bank, akizungumza wakati wa hafla ya futari maalum iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.
Mgeni rasmin katika hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB Mhe.Zuberi Ali Maulid akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar. 
Mgeni rasmin katika hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB Mhe.Zuberi Ali Maulid akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar. 

Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume akisoma dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hayyt Shangani Jijini Zanzibar.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.