Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Amefanya Ziara na Kukagua Utendaji Kazi Katika Bandari ya Dar es Salaam.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Dereva wa Lori kutoka Rwanda, Ntawurivuma Emile wakati alipokagua utaratibu wa kuruhusu malori kuingia na kutoka kwenye Bandari ya Dar es salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua utaratibu wa kuruhusu malori ya mizigo kuingia na kutoka kwenye Bandari ya Dar es salaam, Mei 12, 2021. Wa pili kushoto ni Waziri wa Ujenzi na  Uchukuzi , Dkt. Leonard Chamliho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua utaratibu wa kuruhusu malori ya mizigo kuingia na kutoka kwenye Bandari ya Dar es salaam, Mei 12, 2021. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi , Dkt. Leonard Chamliho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza dereva wa lori kutoka Burundi, Issa Kabwayo wakati alipokagua utaratibu wa kuruhusu malori kuingia na kutoka kwenye Bandari ya Dar es slaam, 

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akitoka ndani ya Jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mapato House jijini Dar es salaam kukagua  Mfumo wa Pamoja wa Forodha Tanzania , Mei 12, 2021. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.