Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman Azungumza na Ujumbe wa Benki ya NMB.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akimsikiliza mgeni wake Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Serikali, Benki ya NMB Bi.Vicky Bishubo, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya Makamu wa kwanza wa Rais,Migombani Jijini Zanzibar. kwa mazungumzo na kujitambulisha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akimsikiliza mgeni wake Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi Ndg.Filbert Mponzi,wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Migombani Jijini Zanzibar. walipofika kwa mazungumzo na kujitambulisha.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akimsikiliza mgeni Meneja wa NMB Tawi la Zanzibar Ndg.Abdalla Duchi, walipofika Ofisi kwa Makamu wa kwanza wa Rais, kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu Migombani Jijini Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akikabidhiwa zawadi na Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi benki ya NMB Ndg.Filbert Mponzi.(kulia kwake) na (kushoto kwake) Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Serikali, Benki ya NMB Bi.Vicky Bishubo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Migombani Jijini Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akikabidhiwa zawadi na Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi benki ya NMB Ndg.Filbert Mponzi.(kulia kwake) na Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Ndg. Abdalla Duchi na  (kushoto kwake) Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Serikali, Benki ya NMB Bi.Vicky Bishubo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Migombani Jijini Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Benki ya NMB baada ya kumaliza mazungumzo yake na Maofisa hao,Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi benki ya NMB Ndg.Filbert Mponzi.(kulia kwake) na Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Ndg. Abdalla Duchi na  (kushoto kwake) Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Serikali, Benki ya NMB Bi.Vicky Bishubo. baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Migombani Jijini Zanzibar.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.