Habari za Punde

Matokeo ya Michezo Mbalimbali Iliochezwa Katika Mashindano ya UMISSETA Leo JUNI 22, 2021 Mkoani Mtwara Viwanja Mbalimbali.

Matokeo ya Michuano ya Mpira wa Wavu Umisseta Mtwara.

WAVULANA.

RUVUMA 0 VS SINGIDA 3.

SHY 2 VS MTWARA 3.

LINDI 3 VS KAGERA 1.

SIMIYU 3 VS PEMBA 0.

MORO 1 VS NJOMBE 3.

DAR 3 VS IRINGA 0.

GEITA 3 VS KATAVI 1.

WASICHANA.

MTWARA 3 VS RUVUMA 0.

PEMBA 0 VS MORO 3.

DAR 3 VS KIGOMA 0

KIKAPU 

WAVULANA

1.Njombe Vs Shinyanga - (14)-(103)

2.Rukwa Vs Kigoma - (30) -(17)

3.kilimanjaro Vs Tabora -(24) -(27)

WASICHANA

1.kilimanjaro Vs Simiyu- (58)-(02)

2.Mtwara Vs Dar es salaam- (08)-(93)

3.Mwanza Vs Ruvuma -(43)-(16)

Imeandaliwa na John Mapepele, Msemaji wa UMISSETA 2021

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.