Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi  wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Janet Masaburi kwenye viwanja vya  Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Morogoro Kusini, Hamisi Shaban Taletale, kwenye viwanja vya  Bunge jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Manonga, Seif Khamis Gulamali, kwenye jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.