Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi NEC, kilichokutana leo Juni 29,2021 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Jijini Dodoma.
Picha na Ikulu.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.