MKUU
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akipokea maandamano ya
wananchi katika kilele Cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika,
yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akipokea maandamano ya wananchi katika kilele Cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete.
WANAFUNZI wa Skuli na wadau mbali mbali, wakiwa katika matembezi katika kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete.
WASANII
wakionesha onesho lao katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika,
yaliyofanyika huko katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete
MRATIBU
wa Shirika la SOS Gharib Abdalla Hamad, akizungumza katika maadhimisho ya siku
ya mtoto wa Afrika, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Wete.
AFISA
kutoka Idara ya Ustawi wa jamii Pemba Bizume Haji, akitoa maelezo katika
kilele Cha maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika katika ukumbi
wa Baraza la Wawakilishi Wete
MKUU
wa Wilaya ya Wete Mgeni Yahya Khatib akiwahubia wananchi waliohudhuria katika
maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Wete.
AFISA
Mdhamini Wizara ya afya Pemba Yakoub Shoka, akitoa maelezo mafupi katika
maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Wete.
MKUU
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Salama Mbarouk Khatib, akiwahutubia wananchi wa Mkoa
wa Kaskazini Pemba, katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete.
WANANCHI Kisiwani
Pemba wakiwa wakifuatilia kwa makini, hotuba ya mgeni rasmi katika maadhimisho
ya siku ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Wete.
(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment