Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar
International ya Singapore Kuok Khoon Hong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini
Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.
Mwenyekiti wa Makampuni ya
Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong akizungumza na Wanahabari
Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment