Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassanakimkaribisha Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia zawadi ya Picha ya kuchora aliyopewa na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2021. 

                                                                     PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.