Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa ndani na
nje ya nchi wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi leo tarehe 10 Juni
2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya
Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana
Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wa
Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Mabalozi mbalimbali
wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Viongozi
wa Kidini, viongozi wa vyama vya siasa kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam mara
baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Viongozi wa Kidini, viongozi wa vyama vya siasa kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake.
PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment