Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho katika Jeneza lenye
mwili wa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mara
baada ya Misa ya kumuombea Marehemu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Petro Oysterbay mkoani Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Mheshimiwa
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Misa ya kumuombea Marehemu Mzee Chrisant
Majiyatanga Mzindakaya iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay
mkoani Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment