Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ashiriki Mkutano wa SADC -Maputo Nchini Msumbiji.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano uliopo Maputo nchini Msumbiji leo tarehe 23 Juni, 2021.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.