Habari za Punde

KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NDG DANIEL CHONGOLO AHITIMISHA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MASHINANI WILAYANI NKASI ,MKOA WA RUKWA.


Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  Ndg Daniel Chongolo akiwa amembeba Mtoto Anastazia alipotembelea Hospitali ya Wilaya ya Nkasi  leo julai 08,2021
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (kulia) Ndg Daniel Chongolo akisikiliza maelezo  ya kifaa cha  .CT Scan toka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi dkt Martha Chacha, alipo tembelea hospitali ya Wilaya hiyo ,Kishoto ni mbunge wa Jimbo la Nkasi Ndg Vicente Mbogo,julai 08,2021
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) (kushoto) Ndg Daniel Chongolo akisikiliza maelezo  ya Chumba kipya Cha Maabala toka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi dkt Martha Chacha, alipo tembelea hospitali ya Wilaya hiyo ,Kishoto ni mbunge wa Jimbo la Nkasi Ndg Vicente Mbogo, julai 08,2021
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) (kulia) Ndg Daniel Chongolo akisikiliza maelezo  ya Chumba kipya Cha Maabala toka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi dkt Martha Chacha, alipo tembelea hospitali ya Wilaya hiyo ,Kishoto ni mbunge wa Jimbo la Nkasi Ndg Vicente Mbogo, julai 08,2021
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  (Pili Kushoto) Ndg Daniel Chongolo akitembea kukagua Ujenzi majengo akifuatana na  Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi dkt Martha Chacha, alipo tembelea hospitali ya Wilaya hiyo , julai 08,2021.
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  Ndg Daniel Chongolo(wa pili Kishoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Msipazi Farm ndg Salum Sumri wa (Tatu toka kushoto) alipotembelea mradi Mkubwa wa Uzalishaji wa Nafaka ya zao la MahindI, julai 08,2021
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  Ndg Daniel Chongolo(wa pili Kishoto) akizungumza na Wafanyakazi wa kiwanda cha Msipazi Farm alipotembelea mradi Mkubwa wa Uzalishaji wa Nafaka ya zao la Mahindi ljulai 08,2021
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  Ndg Daniel Chongolo(wa pili Kishoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Ndg Joseph Mkirikiti waliposimama njian wakielekea  kata ya Chala katika kikao Cha Balozi julai 08,2021
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza na Wanachama wa Shina namba 4 kata ya Chala Wilayani Nkasi ,julai 08,2021
Wanachama wa Shina namba 4 kata ya Chala  wakifuatilia Mkutano Wilayani Nkasi ,julai 08,2021

Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Ndg Daniel Chongolo akizungumza na Wanachama wa Shina namba 2 kata ya Nkandasi Wilayani Nkasi ,julai 08,2021
Wanachama wa Shina namba 2 kata ya Nkandasi Wilayani Nkasi wakifurahia hotuba ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ,julai 08,2021 ( Picha zote na Fahadi Siraji CCM BLOG)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.