Habari za Punde

Mafunzo ya matumizi ya simu janja kutafuta masoko yafanyika kisiwani Pemba chini ya udhamini wa Unesco

KAIMU Mkurugenzi Baraza la Mji Mkoani Mohamed Faki Salim, akifungua mafunzo ya siku nne kwa vijana ambao wapo nje ya mfumo wa elimu kutoka ICT lub mkoani, juu ya Matumizi ya Simu janja (smartphone), katika kutafuta masoko ya bidhaa zao, mafunzo hayo yaliyotolewa na shirika la UNESCO.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

KAIMU Mkurugenzi Baraza la Mji Mkoani Mohamed Faki Salim, akimkabidhi simu janja (Smartphone) kijana Fatma Mohamed Khamis kutoka ICT club ya Mkoani, juu ya kutafuta masoko ya bidhaa zake zilizotolewa na shirika la UNESCO.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


BAADHI ya vijana ambao wapo nje ya Mfumo wa elimu kutoka ICT hub ya Mkoani, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mafunzo juu ya matumizi ya simu janja (Smartphone), katika kutafuta masoko ya bidhaa zao mafunzo yaliyotolewa shirika la UNESCO.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MSHAURI Mwelekezi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wanawake walio nje ya mfumo rasmi wa Elimu, kutoka shirika la UNESCO Tanzania Sebastini Okiki, akiwafundisha vijana wa ICT Lub ya Mkoani, ambao wapo nje ya mfumo Rasmi wa elimu, juu ya matumizi ya simu janja katika kutafuta masoko ya bidhaa zao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


 MTAALAMU wa mifumo ya IT kutoka UNESCO Tanzania Leornard Kisenha, akiwaeleza jambo vijana wa ICT Lub ya Mkoani, ambao wapo nje ya mfumo Rasmi wa elimu, juu ya matumizi ya simu janja katika kutafuta masoko ya bidhaa zao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.