Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango Ameyafungua Maonesho ya 45 ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam leo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la kujenga taifa Brig Jenerali Rajabu Mabele wakati alipotembelea katika Banda hilo la Jeshi la Kujenga Taifa.

MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. Philip IsdorMpangoakipokeazawadiyabegikwaajiliyake (pichanamba 3) nakwaajiliyaRaiswajamhuriyamuunganowa Tanzania  MheshimiwaSamiaSuluhu Hassan( Pichanamba 2) wakatialipokuwaakizinduamaoneshohayo.

MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. Philip IsdorMpangoakitembeleamabandambalimbalikujioneabidhaazilizopokwenyemaoneshoyasabasabayamwaka 2021 wakatialipofikakuzinduamaoneshohayo.

MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. Philip IsdorMpangoakizungumzanamjasiriamali Bi Aziza Saidianayefanyabiasharayatibambadala. wakatialipotembeleabandamaalum la wafanyabiasharawadogo( Machinga). MakamuwaRaisameagiza Bi Aziza kusaidiwaharakakatikabiasharayakehiyo.

MakamuwaRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. Philip IsdorMpangoakitembeleamabandambalimbalikujioneabidhaazilizopokwenyemaoneshoyasabasabayamwaka 2021 wakatialipofikakuzinduamaoneshohayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.