Habari za Punde

Rais Mhe Samia azungumza kwa njia ya mtandano na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Mtandao na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel, leo Julai 12,2021 Ikulu Jijini Dodoma. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.