Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Chumbuni Katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Katika Masjid Munawar Chumbuniu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Masjid Munawar Chumbuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Ibada ya Sakla ya Ijumaa. akisalimiana na Viongozi wa Dini na Serikali. na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Rashid Simai Msaraka 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Khatibu Sheikh Simai Juma Vuai baada ya kumaliza kutowa Khutuba ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Munawar Chumbuni Jijini Zanzibar.  
Imamu Mkuu wa Masjid Munawar Chumbuni Sheikh Mihammad Khamis Wadi akizungumza baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na kuwasilisha salamu za Waumini wa Masjid hiyo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Chumbuni baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Munawar Chumbuni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja.
Wananchi wa Chumbuni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Munawar Chumbuni. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Munawar Chumbuni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo. 
Wananchi wa Chumbuni Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja wakitikia dua ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Munawar Chumbuni. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.