RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo alipofika Ikulu
Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu chake cha “Asian
Aspiration” kabla ya kuzinduliwa uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya
Verde Mtoni Zanzibar na (kulia kwake) Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia
Mhe.Hailemariam Desalegn, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu, kabla ya kuaza
mazungumzo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.Hailemariam
Desalegn, kabla ya kuza kwa mazungumzo na kutowa maelezo ya Kitabu cha “Asian
Aspiration” wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Taasisi ya "The Brenthurst Foundation "Mr.Jonathan Oppenheimer akizungumza wakati wa hafla ya kuwasilisha taarifa ya Ripoti ya Utafiti uliofanya na taasisi hiyo hapa Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS
Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo akizungumza na kutowa maelezo ya
kitabu chake cha cha “Asian Aspiration” kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) mazungumzo hayo
yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla ya kufanyika uzinduzi
huo wa kitabu hicho katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
WAZIRI
Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn akizungumza na kutowa
maelezo ya kitabu cha “Asian Aspiration”, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na wageni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe. Olusegun Obasanjo na
Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn, baada ya kutowa
maelezo ya kitabu chao cha “Asian Aspiration” mazungumzo hayo yamefanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

VIONGOZI
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.
Olusegun Obasanjo akitwa maelezo ya kitabu chake cha cha “Asian Aspiration”
wakati wa mazungumzo yake na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi
zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe Olusegun
Obasanjo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi
akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa
Ethiopia Mhe Hailemariam Desalegn, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS
Mstaafu wa Nigeria Mhe Olusegun Obasanjo akitowa maelezo ya zawadi kabla ya
kumkabidhi mwenyeki wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yalifanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment